Sunday, March 23, 2014

Profesa Maghembe akifungua pazia kuashiria kukamilika kwa mradi wa maji Kwadelo, Wengine ni Diwani wa Kata ya Kwadelo Alhaji Omary Kariati na Mbunge wa Kondoa Kaskazini Zabein Mhita.
 Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la mashine ya maji Kwadelo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Singida Engineering , Mhandisi Juma Mapala (katikati), akijitambulisha baada ya kukabidhi mradi wa maji wenye thamani ya sh. milioni 268 katika Kata ya Kwadelo Kondoa Mkoa wa Dodoma.

No comments:

Post a Comment