MRADI WA NYUMBA
15,000
Mkurug enzi
wa Maendeleo ya Biashara wa Shirika la
Nyumba la Taifa (NHC), David Shambwe (katikati), akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari (hawapo pichani ,
Dar es Salaam jana, ) kuhusu shirika hilo kuanzisha mradi wa ujenzi wa nyumba 15000 zikiwamo 5000 za
ghalama nafuu zitakazojengwa eneo la Mwongozo Kigamboni na mikoa mingine nchini. Kushoto ni Meneja
Mauzo Tuntufye Mwambusi na Ofisa Mahusiano ya Jamii Susan Omary.
No comments:
Post a Comment