Ndugu wasomaji na watazamaji wapenzi wa blog ya Umojamatukio mimi binafsi nimeona ni vema tukaanzisha utaratibu wa koramu itakayotusaidia, Kuelimisha, Kuburudisha na kutahadharisha kuhusu mwenendo wa maisha yetu ya kila siku na wewe ukipenda nakuomba tushirikiane katika koramu hii ili Mwaka 2014 uwe wa mabadiriko, karibuni.
'Kwa nini uende Bar wakati huna fedha' ?
Katika maisha ya kila siku kuna baadhi ya watu wamejijengea utaratibu wa kuhudhuria vikao visivyo rasmi katika maeneo ya starehe ilhali hawana fedha ya kujikimu kwa vinywaji hali inayosababisha kuwa kero kwaengine wenye nazo.
Ni hivi karibuni nikiwa katika mizunguko eneo moja huko Mbagala nilikumbana na kituko kilichotokana na jamaa ambaye ni muuumini wa vinjwaji vikali akilazimisha ofa kwa jirani walipokuwa aliyekuwa ameketi karibu bila aibu hali iliyonishangaza na kujiuliza mtu h
No comments:
Post a Comment