Baadhi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakijadiliana jambo, wakati wakiwa katika harakati za kusaka makasha mabovu ambayo huyauza ili kujipatia riziki. WEWE na mimi tunawasaidiaje hawa ?
Biashara utotoni , baadhi ya watoto wakisaka wateja wa makasha ili kujipatia kipato, kama walivyokutwa Gerezani Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment