Saturday, April 5, 2014

ETRA BONGO ILIVYONOGESHA SAFARI LAGER NYAMA CHOMA 2013

           Kiongozi wa Bendi ya Exra Bongo Ally Choki, akipagawisha wakati wa hitimisho la Safari Lager Nyama Choma
                                     Mmoja wa washindi wa shindano la Safari Lager  Nyama Choma

                  Menaja wa Bia ya Safar Lager, Oscar Shelukindo akikabidhi Kombe la  Ushindi wa shindano hilo, kwa mmoja wa washindi

           Ni sherehe na ndelemo wakati wa utoaji vikombe kwa washindi wa shindano hilo kwa Mwaka 2013

No comments:

Post a Comment