UMOJA MATUKIO

Pages

  • Home
  • PHOTO
  • INTERVIEW
  • POLITICS
  • EXCLUSIVE NEWS
  • SPORTS
  • CONTACT

Thursday, April 17, 2014

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE APOKEA TUZO YA UONGOZI BORA WA MFANO AFRIKA


Rais Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akiiweka mezani  Tuzo Maalumu. Ikulu Dar es Salaam jana, mara baada ya kuipokea  kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe (katikati)  iliyotolewa na mashirika ya Kimataifa kutokana uongozi wake bora wa mfano katika nchi za Afrika. Tuzo hiyo ilitolewa nchini Marekani baada ya kupigiwa  kura  ya
kukukubarika na watu zaidi ya 400,000 Duniani. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Salva Rweyemamu.
 
 
Rais Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akiiiangalia Tuzo Maalumu. Ikulu Dar es Salaam jana, mara baada ya kuipokea  kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe (katikati) iliyotolewa na mashirika ya Kimataifa kutokana uongozi wake bora wa mfano katika nchi za Afrika. Tuzo hiyo ilitolewa nchini Marekani baada ya kupigiwa  kura  ya
kukukubarika na watu zaidi ya 400,000 Duniani. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Salva Rweyemamu.
                    Rais akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kupokea tuzo hiyo
Posted by umoja matukio at 5:39 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

POPULAR POSTS

  • MATUKIO YA KONDOA DODOMA NA MILIMA GAIRO MKOANI MOROGORO
    Wachuuzi wa mazao mbalimbali wakiuza bidhaa zao nje ya Soko Kuu la Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma Wafugaji wa Kiteto ...
  • JWTZ ILIPOIONESHA DUNIA UWEZO WAKE KIJESHI KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
    Matukio yote ya maonesho ya zana za kisasa za kijeshi yalifanyika Uwanja wa Uhuru  Siku ya Muungano na Miaka 5...
  • MATUKIO YA MITAA MBALIMBALI JIJINI DA R ES SALAAM
                            Mkazi wa jiji akisaka kiatu kilichotumbukia kwenye mtaro uliojaa maji katika Mtaa wa Msimbazi. Kazi hiyo aliifanya...
  • MAFURIKO YASOMBA GARI BARABARA YA KILWA DAR ES SALAAM
                  Baadhi ya magari na wakazi wa Mbagala wakipita katika Barabara ya Kilwa iliyofurika maji ya mvua eneo la Rngitatu        ...
  • AJALI MBAGALA LEO, UMAKINI MUHIMU KUEPUKA AJALI HIZI
       Baadhi ya wakazi wa Mbagala Kizuiani wakiyaangalia magari yaliyotumbukia mtaroni baada ya kugongana katika eneo hilo, Barabara ya Kilwa...
  • MISS TALENT MBAGALA 2014 WAONESHA VIPAJI VYAO DAR LIVE YAZIZIMA
         Mamiss Mbagala Talent 2014 wakiburudisha wakati wa shindano hilo katika Ukumbi wa Dar Live Mbagala Wasanii wa Kundi la First Plane...
  • MATUKIO MBALIMBALI KATIKATI MKOA YA Pwani, Morogoro, Dodoma na Manyara
     Baadhi ya wachuuzi wa mahindi ya kuchoma na mabichi wakisaka wateja katika magari yaliyosimama karibu na daraja la Mto Dumila yalipotokea...
  • PICHA ZA MWAKILISHI WA BABA MTAKATIFU NA MBUNGE WA NANYUMBU
     Balozi wa Vatican nchini, Askofu Francisco Montecillo Padilla (kushoto), akiwa na Ofisa Uhusiano wa Ubalozi Japani, Benedict Kikove ...
  • BENKI YA NMB NA KAMPUNI YA MBUYEKU ZAZINDUA MTANDAO KWA WATEJA
    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Mark Wiessing  (kulia), akimshukuru Mkurugenzi wa kampuni ya Mbuyeku, Ismail Mbuyeku mara baada ya uz...
  • MAZIKO YA ASKOFU WA KANISA LA ANGLIKANA ASKOFU MHOGOLO DODOMA
    Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakiweka shada ya maua juu ya kaburi la aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika a...

TOTAL PAGEVIEWS

Blog Archive

About Me

My photo
umoja matukio
View my complete profile
Travel theme. Powered by Blogger.