Mhariri wa Gazeti la Business Times, Mnaku Mbani akitoa mada wakati wa Semina ya waandishi wa habari za biashara wa Charity Group,' TWIKA', Dar es Salaam juzi.
Waziri wa Biashara ya Nje wa Uholanzi akisaini katika kifaa maalumu cha kuzarishia gesi asilia itokanayo na takataka na vinyesi vya wanyama, SIM GAS, wakati wa uzinduzi Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya wakurugenzi na wadau wa SIM GAS wakijadiliana jambo wakati wa uzinduzi. hivi karibuni
No comments:
Post a Comment