Sunday, April 13, 2014

ATHARI ZA MAFURIKO YAZIDI KULITESA JIJI LA DAR ES SALAAM

                                Maji yakiwa katika mkondo wake kuelekea baharini katika Mto Mzinga Kongowe. Baadhi ya nyumba zinazoonekana zikiwa majini
Baadhi ya watu wakiwa katika eneo la daraja la Mto Mzinga Mbagala Kongowe wakisubiri kuvuka kwa zamu
                 


                     Shimo kubwa likiwa limelikata daraja hiyo na kusababisha mawasiliano kukatika



                Baadhi ya wakazi wa pande mbili za Mbagala Kongowe na Rangitatu na wasafiri wengine wanaopitikia Barabara ya Kilwa wakipita kwa ruksa maalumu kwa uangalizi wa askari katika daraja hilo lililokatika upande mmoja.
               Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kimbangulile, Alhaj Abdul Kessy, akiangalia baadhi ya nyumba  zilizobomolewa na mafuriko katika Mtaa wa Mbagala  Kimbalnguile.
Baadhi ya nyumba zilizobomolewa na mafuriko katika Mtaa wa Mbagala  Kimbangulile




























No comments:

Post a Comment