 |
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mtahiki Yusuph Mwenda (katikati) akimkabidhi Kombe ubingwa wa Safari Lager Nyama Choma 2014 Mkoa wa Dar es Salaam Mpishi wa Baa ya Uhakiki. Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager., Oscar Sherukindo |
Wanamuziki wa Bendi ya Twanga Pepeta wakiburudisha katika fainali hizo Viwanja vya Leaders Dar es Salaam
 |
Washindani wa shindano la fainali wakiandaa nyama katika majiko yao |
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda (wa pili kulia) akitoa neno maalumu kwa washiriki mara baada ya kukabidhi zawadi kwa washindi.. Wa pili (kulia) ni Meneja wa bia ya Safari Lager Oscar Sherukindo ,
 |
Mashabiki wa Baa ya Uhakiki wakimbeba mpishi mkuu wa baa hiyo baada ya kutawazwa mabingwa na kujinyakulia kitita cha sh. milioni 1 na kikombe. |
Meya wa Yusuph Mwenda (kulia) akimsikiliza Meneja wa bia ya Safari , Oscar Sherukindo
Jaji Mkuu wa shindano hilo nchini Lawrence Salvi (katikati), akionja nyama wakati wa kuhakiki washindi, wengine ni majaji wasaidizi.
Washiriki wakiandaa nyama katika ya majaji kutembelea majiko yao wakati wa fainali hiyo iliyoshirikisha baa 6
Maandalizi ya nyama choma yakiendelea kabla ya majaji kutembelea majiko
No comments:
Post a Comment