Add caption |
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Yanga Didier Kavumbagu akiruja kupiga mpira
Polisi wakikabiliana na mashabiki wa Yanga wakati mapumziko katika mechi hiyo
Wachezaji wakipooza kiu kwa maji wakati wa mchezo huo wa kufunga msimu
Kipa wa Simba Ivo Mapunda akipata matibabu baada ya kuumia |
Shabiki wa Yanga Mwarami Kilongola akipelekwa katika kalandinga baada ya kuleta vurugu
Kavumbagu akichanja mbuga
Shabiki Mwarami Kilongola akiwa mbaloni
Mmoja wa masahabiki akiwa amezirai na kukimbizwa kwa matibabu |
Yanga wakishangilia goli lilifungwa na Simon Msuva |
Mashabiki wa Simba wakishangilia wakati mechi ikiendelea
Kikosi cha Yanga kilichocheza pambano hilo na kutoka sare ya 1-1
No comments:
Post a Comment