Saturday, April 19, 2014

OPERESHENI KATIKA MITAA YA JIJI LA DAR ES SALAAM

                      Mgambo wa Jiji la Dar es Salaam akimpandisha katika gari mmoja wa wachuuzi wa bidhaa ndogondogo aliyekamaywa
                    Mgambo wakidhibirti hali katika Mtaa wa Kongo Dar es Salaam
                    Askari wa Ulinzi Shirikishi wakiikokota pikipiki iliyokutwa imeegeshwa eneo lisiloruhusiwa Shule ya Uhuru Kariakoo
                    Basi la Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA) likipita kando (kushoto), ili kulipisha basi jingine la kampuni hiyo lililoharibika na kuziba barabara Mnazi Mmoja.

No comments:

Post a Comment