Mkazi wa jiji akikatiza Barabara ya Uhuru na tandiko baada ya kulinunua. Mitaa ya Kariakoo inapitika kirahisi baada ya operesheni inayoendelea
Wafanyabiashara wakishusha bidhaa nje ya Soko Kuu la Kariakoo eneo hilo limeanza kuvamiwa na baadhi ya wachuuzi wakaidi walioondolewa katika operesheni
Mke wa Naibu Waziri wa Uchukuzi, Tizeba (kulia), ambaye alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa taasisi ya Nitetee Foundation wakifungua kwa pamoja pazia kwa pamoja na Mkurugenzi na Muasisi wa Nitetee Foundation, Flora Lauwo (kushoto), kuashiria uzindizi rasmi wa taasisi hiyo, wakati wa hafla iliyofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa New Mwanza Hotel, mkoani Mwanza. |
No comments:
Post a Comment