Friday, April 18, 2014

MWINYI ATEMBELEA MAONESHO YA TAASISI ZA MUUNGANO TANZANIA

                      Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakati wa maonesho hayo
                  Ofisa Habari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Focus Mauki (kushoto), akiwaeleza watu waliofika katika banda la bandari kuhusu shughuli za bandari
               Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiwa katika Banda la Bunge la Tanzania katika maonesho hayo ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania
                   Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakipokea vipeperushi wa bandari. Kushoto ni Ofisa Habari wa mamlaka hiyo Focus Mauki na Ofisa Uendeshaji, Rashid Mkinga
                  Rais Mstaafu Mwinyi akipita katika mabanda mbalimbali ya maonesho hayo

No comments:

Post a Comment