Friday, May 30, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KITUO CHA TIBA, UCHUNGUZI NA MAFUNZO YA MAGONJWA NA SARATANI ZA MATUMBO NA INI CHA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI,

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) Mwakilishi wa Taasisi ya Else Kronner Fresenius Stiftung, Prof. Konrad Mebmer (wa tatu kushoto) Mwenyekiti wa Mfuko wa Magonjwa ya mfumo wa Chakula Munich nchini Ujerumani, Prof. Meinhard Classen (kulia) na Balozi mdogo wa Ujerumani nchini Tanzania, Hans Koeppel, kwa pamoja wakikata utepe kuashiria kufungua rasmi Jengo la Kituo cha Tiba, Uchunguzi na Mafunzo ya Magonjwa na Saratani za Matumbo na Ini cha Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati wa Hafla fupi ya ufunguzi huo iliyofanyika Hospitalini hapo jijini Dar es Salaam, leo Mei 30, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais akisikiliza maelezo kuhusu huduma za kituo hicho

               Baadhi ya madaktari na wauguzi wakimsikiliza Makamu wa Rais (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi huo

No comments:

Post a Comment