Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano
wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi kwa mwaka 2014, uliofanyika
kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam leo mchana. Mbali na
ufunguzi wa mkutano huo pia Makamu, alishuhudia hafla ya kuapishwa kwa
Wakandarasi. Picha na OMR
Makamu wa Rais akihutubia huku baadhi ya viongozi (kulia) wakimsikiliza
No comments:
Post a Comment