Wednesday, May 28, 2014

MAKAMU WA RAIS MOHAMMED GHARIB BILAL AUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA AFRICAN INSURANCE AGENCY

 Makamu wa Rais Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Afrikani Insurance  Agency (ATI) wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa kampuni hiyo Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni hiyo, Israel Kamuzora.
   Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima (katikati), akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo George Otieno na Mwenyekiti wa bodi Israel Kamuzora (KUSHOTO), wakati wa mkutano huo
        Baadhi ya wadau na wanahisa wa kampuni hiyo wakiwa katika ufunguzi wa mkutano huo

No comments:

Post a Comment