Wednesday, May 28, 2014
MATUKIO MBALIMBALI YA MICHEZO NA BURUDANI
Meneja wa Bia ya Ndovu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Pamela Kikuli akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam , kuhusu Tuzo ya juu Kimataifa ya ubora katika mashindano ya vinywaji vimiminika yaliyofanyika katika Jiji la Bordeaux nchini Ufaransa. Kulia ni Meneja Masoko wa bia hiyo, Fimbo Butallah
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Sherukindo (kulia), akikabidhi kombe la pool litakaloshindaniwa mwaka huu. Wanaopokea ni Katibu Mkuu Amos Kafwinga (katikati) na Mwenyekiti Isaack Togocho
Wasanii wa Kundi la JKT, wakitumbuiza wakati wa Mkutano Mkuu wa Kampuni ya Wakala wa Bima ya African Insurance Agency (ATI), Dar es Salaam.
Wafanyabiashara wa filamu wakilumbana na maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Wakati wa ukaguzi wa stika za uhalali wa biashara hiyo eneo la Kariakoo Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment