Friday, May 30, 2014

OPERESHENI YA KUKAMATA FILAMU ZISIZO NA STIKA ZA TRA YAPAMBA MOTO DAR

Askari akiwa katika moja ya maduka yanayouza filamu baada ya kuzuia lisifungwe ili likaguliwe Mtaa wa Muhonda, Kariakoo
     Mmoja wa wafanyabiashara wa filamu akilalamikia utaratibu uliotumika katika operesheni hiyo
   Mama huyo mfanyabiashara akitoa maelezo kuhusu biashara yake ambapo aliitaka TRA kutoa notice ya katazo hilo

No comments:

Post a Comment