Baadhi ya waamini wa kanisa hilo wakifuatilia misa ya Ijumaa Kuu katika kanisa hilo
Waamini wa kanisa hilo wakibusu msalaba ikiwa ni sehemu ya kuabubu
Mamia ya waamini wakiwa katika foleni ya kubusu msalaba katika kanisa hilo
Mtawa wa kanisa hilo akiwa na msalaba kwa ajili ya waamini waliokuwa wakiubusu
No comments:
Post a Comment