Wednesday, May 28, 2014

SAFARI YA MWISHO YA MPENDWA MWANDISHI WA HABARI MAXIMILLIAN JOHN HAPA DUNIANI

            Baadhi ya ndugu na jamaa wakifarijiwa na wakazi wa jiji waliofika katika msiba huo wa Mpigapicha wa Kituo cha Televisheni cha Mlimani marehemu Maxmillian John.
Wakazi wa jiji waombolezaji wakiwa kati mstari wa kutoa heshima za mwisho kwa marehemu

                 Mke wa marehemu Suzy Jacob akiushika mwili wa  mumewe wakati  wa kuaga viwanja vya leaders Dar es Salaam
                           Jeneza la mwili wa marehemu likishushwa katika kaburi
                                       Mchungaji (kushoto) akiendesha sala wakati wa maziko
                             Mmoja wa watoto wa marehemu akilia kwa uchungu wakati wa kuweka udongo katika kaburi la baba yake
          Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika huzuni kubwa wakati wa maziko hayo

No comments:

Post a Comment