 |
Baadhi ya maofisa na mawakala wa Kampuni ya Huawei wakiandaa bidhaa za maonesho hayo |
 |
Meneja Masoko Mwandamizi wa Kampuni ya Teknolojia ya Huawei, Ian ashara na Ellis, akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mitambo yenye teknolojia ya kisasa ya mawasiliano TEHAMA, wakati wa maonesho teknolojia mpya ya kisasa ya mawasiliano yaliyofanyika katika Viwanja vya Airtel Dar es Salaam jana. Kampuni hiyo ya vifaa vya mawasiliano pia inamahusiano ya kibiashara na Airtel Tanzania. |
 |
Maofisa wa Kampuni ya Huawei wakijadiliana jambo wakati wa uzinduzi wa maonesho hayo, Wa pili (kushoto) ni Mkurugezni wa Channel, Moses Hella |
Mkurugenzi wa Channel wa Kampuni hiyo Moses Hella, akizungumza kuhusu maonesho hayo katika Viwanja vya Kampuni ya Airtel Tanzania
No comments:
Post a Comment