Thursday, June 26, 2014

NHC YAANDAA JUKWAA LA UWEKEZAJI UJENZI WA NYUMBA KIMATAIFA

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwahudumia wageni wakati wa jukwaa hilo, Kulia ni Ofisa Habari wa shirika, Yahya Charahani
Wadau wakijadiliana kabla ya kuanza kwa majadiliano ya pamoja
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika Nehemiah Mchechu (katikati) akizungumza na wageni na wawekezaji
Meneja Mahusiano ya Jamii wa shirika, Muungano Saguya (katikati) akizungumza na baadhi ya maofisa mbalimbali

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Mchechu (kulia), akizungumza na baadhi ya wadau wa shirika hilo, wakati wa jukwaa la uwekezaji katika ujenzi wa makazi lililohusisha wawekezaji kutoka nchi mbalimbali na baaadhi ya wakuu wa mikoani nchini.


Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao (kulia) akiwaaga viongozi mbalimbali na wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), mara baada ya kumaliza ziara Dar es Salaam juzi. Kiongozi huyo wa Taifa rafiki alitembelea mamlaka hiyo ikiwa ni sehemu ya ziara ya siku 6 nchini.

Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung Tanzania, Ibrahim Kombo (kulia), akimkabidhi zawadi ya runinga, Mkazi wa Ilala, Gaspar Dismas, Dar es Salaam jana, akiwa ni mmoja wa washindi baada ya kununua bidhaa za kampuni hiyo.

No comments:

Post a Comment