Wednesday, June 4, 2014

TBL ILIVYOPOKEA TUZO ZA KIMATAIFA ZA UBORA WA VYANJWAJI VYAKE MONDE SELECTION UFARANSA


Mpishi Mkuu wa Bia za Kampuni ya Bia Tanzania, ( TBL), Calvin Nkya (wa pili kushoto)  na Meneja wa Bia ya Ndovu Pamela Kikuli (wa pili kulia), wakiwa na baadhi ya wadau na maofisa wa Taasisi ya Monte Selection, mara baada ya kukabidhiwa tuzo hizo

9
Oscara akiwa na kinywaji cha Sfari Lager anachokisimamia wakati wa tuzo hizo
Meneja wa Safari LagerOscar Sherukindo  akiwa na Mpishi Mkuu, Calvin Nkya (kushoto), wakiwa wameshika bia za Safari lAGER
Add caption
       Mpishi Mkuu wa Bia za Kampuni ya TBL  Calvin Nkya,  akiwa na chupa ya Ndovu za kinywaji hicho wakati wa utoaji wa tuzo MONDE SELECTION mara baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo.

Meneja wa Bia ya Ndovu Pamela Kikuli, akiwa amepozi , baada ya kukabidhiwa Tuzo ya Kimataifa ya Ubora wa Bia hiyo




No comments:

Post a Comment