Wednesday, June 4, 2014

MATUKIO MBALIMBALI MAKAMU WA RAIS MWANZA NA BENKI, WAJASILIAMALI NA MSAADA KWA MANISPAAKATIKA WIKI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Wilaya ya Ilemela, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza leo, Juni 5, 2014. Katika Kilele hicho Makamu wa Rais alitoa tuzo na kukabidhi vyeti kwa washindi wa Usafi wa Mazingira kuanzia Vjiji hadi Halmashauri za mikoa mbalimbali ya nchini. Picha na OMR

Barclays Bank employee David Mbilinyi (R) imparting financial management skills during a training session in a project whereby 200 youths would be empowered with entrepreneurship, financial and life skills to achieve financial freedom. Barclays bank invested Tsh. 120m in the project which is organized by Nkwamira Life Trust. The training sessions took place at COSTECH in Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Barclays PLC, Anthony Jenkins  (hayupo pichani) alipozungumza nao, wakati wa ziara yake nchini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati)
akikabidhiwa na Ofisa
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh.milioni 15, wakati wa
hafla iliyofanyika Ilala, Dar es Salaam juzi, ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani. Wafanyakazi wa TBL
walishiriki kufanya usafi eneo la Karume na Ilala. Kushoto ni Meneja
Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo.

Babalishe ambao ()hawakutaka kutaja kujitambulisha) wakisaidiana kuandaa ugali kwa ajili ya wateja wao, kama walivyokutwa kando ya Barabara Ntaa wa Muhonda Kariakoo, Dar es Salaam juzi, Biashara ya chakula imekuwa kimbilio la baadhi ya watu kutokana na kutohitaji mtaji mkubwa.
Mtendaji Mkuu wa Barclays PLC, Anthony Jenkins akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC Tanzania wakati wa ziara yake nchini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC Tanzania, Bi. Mizinga Melu
NBC Bank Morogoro branch public relations officer, Grace Kapesa (centre) briefs about banks products and services offered by NBC to TANICA General Manager, Leonidas Ishansha (left), during  Tanzania Coffee Board Annual Conference in Morogoro recently. NBC were among the conference sponsors. Looking on is banks sales officer, Reuben Mboya

No comments:

Post a Comment