Tuesday, June 3, 2014

MWINYI AZINDUA KIWANDA CHA UHANDISI WA VIFAA VYA UJENZI VYA WATURUKI NCHINI

Morani wa kimasai wakiburudisha wakati wa uzinduzi huo
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (katikati), akiangalia burudani (haipo pichani), wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik, Balozi wa Uturuki nchini Ali Tovutoglu, Waziri wa Forodha na biashara wa nchi hiyo Ticalet Bakani na Mke wake Selma Yazili
       Waziri Hussein Mwinyi katikati , akikata utepe wakati wa uzinduzi huo

No comments:

Post a Comment