Monday, February 24, 2014

HARAMBEE YA WAUGUZI

Miss Tanzania Happiness Watimanywa, akihamasisha uchangiaji wa fedha 'Harambee'' kwa
ajili ya kununulia mavazi maalumu ya waaguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro
jana. Uchangiaji uliohusisha wafanyakazi wa Kampuni ya Universal Mjini Morogoro juzi. (Na Mpigapicha Wetu)


UFUNGUZI WA TAWI TPB
Ufunguzi wa Tawi la Benki Popote la Benki ya Posta Tanzania (TPB) Tegeta Dar es Salaam juzi.

Baadhi ya watuhumiwa wa kusafirisha dawa za kulevya wakiingia Mahalama ya Kisutu, Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment