Mkazi wa Mbagala akiangalia gari lililoseleleka na kukwama katika poromoko la udongo katika Barabara ya Kilwa Mbagala Kokoto
Moja magari ya kusafirisha gesi ya Mtwara likiwa limezama katika mafuriko ndani ya yadi Mbagala Kongowe
Magari yakiwa katika foleni ndefu iliyotokana na maji kufurika katika daraja la Mto Mzinga Bagala KongoweBaadhi ya wakazi wa jiji waliangalia gari dogo lenye namba T 265 AFS, lililosombwa na maji ya mafuriko katika Barabara ya Kilwa Mtoni Msikitini.
Gema likihatarisha usalama wa magari katika barabara ya Kilwa eneo la Mtoni Mtongani
Mwendeshaji wa pikipiki akisubiri abiria kando ya gema lililokata barabara ya Kilwa kutokana na mvua.
Wakazio wa eneo hilo wakitafakari jambo la kufanya kutokana na barabara kuharibiwa na mafuriko
Barabara ya Kilwa ikiwa katika hali mbaya kutokana mvua
Wakazi wa Mtoni wakiwa katika wakati mgumu kuhusu hatma yao kutokana namomonyoko wa barabara
No comments:
Post a Comment