Sunday, May 25, 2014

BENKI YA NMB NA KAMPUNI YA MBUYEKU ZAZINDUA MTANDAO KWA WATEJA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Mark Wiessing  (kulia), akimshukuru Mkurugenzi wa kampuni ya Mbuyeku, Ismail Mbuyeku mara baada ya uzinduzi wa mtandao utakaowaunganisha wateja wa NMB ‘Executive Net Work’ ili kuwawezesha kutumia huduma za  kibenki kwa manufaa ya biashara zao. Anayeshuhudia (kushoto) ni Mkuu wa Kitengo cha Biashara NMB, Filbert Mponzi. uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki..

No comments:

Post a Comment