Sunday, March 23, 2014

MATUKIO MBALIMBALI KATIKATI MKOA YA Pwani, Morogoro, Dodoma na Manyara

 Baadhi ya wachuuzi wa mahindi ya kuchoma na mabichi wakisaka wateja katika magari yaliyosimama karibu na daraja la Mto Dumila yalipotokea mafuriko mkoani Morogoro hivi karibuni.
 Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Omary Kwaang (kushoto)akimtambulisha Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji Kata ya Kwadelo Kondoa mkoani Dodoma
 Wakazi wa Kwadelo wakisafiri kwa trekta wakati wakienda katika shughuli mbalimbali
l
Meneja Mkuu  wa  Kampuni ya Escorts Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dkt. Christine Ishengoma (katikati), akifurahia zawadi ya mafuta ya arizeti na asali aliyokabidhiwa na wakazi wa kwadelo, mara baada ya kuzinduliwa mradi mkubwa wa maji (kushoto) ni Mkuu wa Wilaya ya kundoa Omary Kwaang
Mkazi wa Kata ya Kwadelo wilayani Kondoa Mkoa wa Dodoma, Mwanahamisi Nong'a (65), akionesha mkono uliokatwa na fisi wakati akisaka maji polini. Tatizo la maji lilisababisha matatizo mengi ikiwa hata ustawi wa familia..
                                             Mandhari ya milima ya Kiteto mkoani Manyara
Wazee wa Kata ya Kwadelo wakipeana mkono na Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, mara baada ya kuzindua mradi wa maji
                                       Milima ya Kiteto karibu na mashamba ya katani na mahindi
                                            Makazi karibu na milima Gairo mkoani Morogoro

                                             Makazi chini ya milima Kiteto mkoani Manyara
                              Baadhi  ya nyumba zikiwa katika mashamba  Kongwa mkoani Dodoma
              Waziri wa Maji Profesa Maghembe (kushoto),  akizungumza na Diwani wa Kata ya Kwadelo    Alhaji Omary Kariati
Gari mmoja wa mashabiki wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lilikutwa na likipita katika Barabara Kuu ya Iringa Mjini Morogoro likiwa na picha ya mgombea wa ubunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, mgombea huyo ni kivutio kwa mashabiki na wanachama wa chama hicho katika mikoa mbalimbali..

No comments:

Post a Comment