Balozi wa Vatican nchini, Askofu Francisco Montecillo Padilla (kushoto), akiwa na Ofisa Uhusiano wa Ubalozi Japani, Benedict Kikove
Mbunge wa Nanyumbu Dastan Mkapa (kushoto), akiwa na Ofisa Uhusiano wa Ubalozi wa Japan nchini, Benedict Kikove wakati wa hafla ya utiaji saini makubaliano ya msaada wa Japani kwa Zahanati za Nanyumbu mkoani Mtwara.
No comments:
Post a Comment