Tuesday, May 20, 2014

MATUKIO YA KONDOA DODOMA NA MILIMA GAIRO MKOANI MOROGORO

Wachuuzi wa mazao mbalimbali wakiuza bidhaa zao nje ya Soko Kuu la Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, mkoani Dodoma

Wafugaji wa Kiteto mkoani Dodoma wakiswaga mifugo yao kuipeleka mnadani kwa mauzo
Askari polisi akifungua geti kurusu basi kupita katika kizuizi karibu na milima Mtungutu mkoani Dodoma. Udhibioti huo unatokana na vitendo vya utekaji magari katika milima hiyo.
Muonekano wa milima Gairo eneo ambalo mazao husitawi

                                                  Mandhari ya milima Gairo Mkoa wa Morogoro

No comments:

Post a Comment