Wednesday, April 16, 2014

MATUKIO YA MITAA MBALIMBALI JIJINI DA R ES SALAAM

                        Mkazi wa jiji akisaka kiatu kilichotumbukia kwenye mtaro uliojaa maji katika Mtaa wa Msimbazi. Kazi hiyo aliifanya kwa malipo kutoka kwa mwanamke huyo (kushoto), mitaro hiyo ambayo ipo wazi inahatarisha usalama wa wakazi wa jiji.
                      Mamalishe akiwa katika harakati za kuandaa chakula cha wateja katika kibanda eneo la karibu na Bandari
               Askari wa Usalama Barabarani akimsubiri dereva wa basi la Kampuni ya UDA.baada ya kulikamata eneo la Mtava Barabara ya Nyerere.
              Takataka zikiwa kando ya Barabara ya Mtaa wa Ghana Posta Dar es Salaam. Dampo hilo lisilo rasmi linaharibu sifa ya Ukumbi wa  mikutano wa Kimataifa wa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere uliopo mita chache katika eneo hilo.

No comments:

Post a Comment