Thursday, April 10, 2014

AJALI MBAGALA LEO, UMAKINI MUHIMU KUEPUKA AJALI HIZI

   Baadhi ya wakazi wa Mbagala Kizuiani wakiyaangalia magari yaliyotumbukia mtaroni baada ya kugongana katika eneo hilo, Barabara ya Kilwa Dar es Salaam
                 Magari hayo yakiwa mtaroni
               Dereva wa gari hilo lenye namba T 202 BYK (kulia) akiliangalia gari lake
                Gari Land Cruser likiwa halina namba baada ya ajali hiyo

No comments:

Post a Comment