Sunday, May 25, 2014

MISS TALENT MBAGALA 2014 WAONESHA VIPAJI VYAO DAR LIVE YAZIZIMA

     Mamiss Mbagala Talent 2014 wakiburudisha wakati wa shindano hilo katika Ukumbi wa Dar Live Mbagala
Wasanii wa Kundi la First Planet kutoka Kigamboni wakionesha umahili wao wakati wa shindano hilo

             Mamiss wakifanya vitu vyao


Mmoja wa washiriki wa shindano hilo akiimba jukwaani

Mmoja wa washindani wa miss Mbagala 2014 akionesha kipaji chake wakati wa kutafuta vipaji


Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakifuatilia shindano hilo

Wadau wa shindano hilo wakifuatilia yaliyojili katika jukwaa wakati wa shindano hilo

No comments:

Post a Comment