Waziri mkuu
Mizengo Pinda na mkewe wakiweka shada ya maua juu ya kaburi la aliyekuwa Askofu
wa kanisa la Anglican Central Tanganika aliyefariki Mwishoni mwa mwezi uliopita
alipokuwa kwenye matibabu nchini Africa ya kusini.
Baadhi ya maaskofu na mapadri wa kanisa hilo wakiombea kaburi la Askofu Mhogolo wakati wa maziko
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiweka shada la maua katika kaburi la askofu huyo |
No comments:
Post a Comment