Miss Tanzania Happiness Watimanywa, akihamasisha uchangiaji wa fedha 'Harambee'' kwa
ajili ya kununulia mavazi maalumu ya waaguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Morogorojana. Uchangiaji uliohusisha wafanyakazi wa Kampuni ya Universal Mjini Morogoro juzi. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment