Thursday, February 27, 2014

UZINDUZI WA MTAMBO WA TAKWIMU TCRA

Rais Dkt. Jakaya Kikwete  (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mtambo wa kudhibiti takwimu za mitandao ya mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasilino Tanzania (TCRA) Dar es Salaam jana.

Rais Jakaya Kikwete (kulia) akibonyeza kitufe kuzindua mtambo TCRA jana.

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Mbulu, mkoani Manyara chini ya Mwenyekiti wake, Mkuu wa Wilaya hiyo, Anatory Choya ikizungumza na wakazi wa Yaeda Chini wakati wa mkutano wa mkutano wa hadhara wa usuluhishi wa mgogoro wa eneo la malisho kati ya jamii ya wafugaji ya Wanatoga na wairaqw katika Bonde la Yaeda Chini
MKUTANO MKUU PSPF
Baadhi ya viongozi wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma wakiwa katika mkutano Mkuu wa Mwaka Dar es Salaam jana.

WAHARIRI ZIARA TBL
Baadhi ya wahariri wakitembelea kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) juzi.

KAMPENI UBUNGE KALENGA
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa (kushoto) akiwahutubia wakazi wa Kijiji cha Kiwele Jimbo la Kalenga, wakati wa mkutano wa kampeni wa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo, mkoani Iringa juzi.

No comments:

Post a Comment