Sunday, March 23, 2014

MATUKIO YA UZINDUZI WA MRADI WA MAJI KATA YA KWADELO KONDOA MKOA WA DODOMA

Waziri wa maji akisalimiana na baadhi ya wazee wa mila wa Kata ya Kwadelo wilayani Kondoa, mkoani Dodoma wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji. Tukio hilo lilihitimishwa kwa kumsimika kuwa mzee wa kata hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Omary Kwaang akimtambulisha Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) wakati wa uzinduzi mradi wa maji Kwadelo Kondoa, Dodoma

No comments:

Post a Comment