Sunday, March 23, 2014

Waziri wa Maji Profesa Jumanne Magembe akifungua pazia kuzindua jiwe la msingi la mradi wa maji wenye thamani ya milioni 268, Kata ya Kwadelo Kondoa Dodoma. MBELE NI dIWANI WA KATA HIYO Omary Kariati na Mbunge wa Kondoa Zabeini Mhita..

No comments:

Post a Comment