Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa, David Shambwe (katika), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu mradi mkubwa wa nyumba 15000 ZITAKAZOJENGWA NCHINI ZIKIWAMO 5000 za ghalama nafuu.
|
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa,
David Shambwe (katika), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani), kuhusu mradi mkubwa wa nyumba 15000 ZITAKAZOJENGWA NCHINI
ZIKIWAMO 5000 za ghalama nafuu. |
Mkazi wa Jangwani Bakari Salum akiwa na wajukuu zake Abdul Seleman Athuman Bakari na Isihaka Ngalangi wakiwa nje baada ya nyumba ysao kujaa maji. Mpango wa shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa ujenzi wa nyumba za ghalama nafuu utaondoa au kupunguza ujenzi holela.
No comments:
Post a Comment