Sunday, March 23, 2014

MATUKIO ZAIDI DODOMA , MOROGORO NA KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Christine Ishengoma (katikati), na Mkuu wa Wilaya Kondoa Omary Kwaang, wakifurahia mafuta ya alizeti na asali iliyotolewa zawadi na wakazi wa Kata ya Kwadelo baada ya kuzinduliwa mradi wa maji wenye thamani ya sh. milioni 268.


Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mboni Mhita(kushoto) akimvalisha
kofia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya ya Moshi Mjini Bw
Aggrey Marealle kuwa Kamanda wa Vijana wa CCM wilayani humo Mjini
katika halya iliyofanyika viwanja vya CCM katab ya Njoro.

 RC Iringa ( Dkt. Christine Ishengoma katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Omary Kwaang (kushoto)
                                         wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji katika Kata ya Kwadelo.

No comments:

Post a Comment