Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Steven Kebwe akiteta jambo na Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim( kushoto) wakati akielekea jukwaa kuu tayari kuongoza uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Ustawi wa Jamii. Maadhimisho hayo yanafanyika kwenye viwanja vya Chuo Cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama, Dar es salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Taswo Dk.Zena Mabeyo.
MkZI WA JIJI AKINAWA KARTIKA DIMBWI
Wasukuma mkokoteni wenye shehema wakiwa katika wakati mgumu
nyumba zikiwa chini ya nyaya za umeme mkali ni hatari, eneo la Jangwani
No comments:
Post a Comment