Rais Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akionesha funguo za magari mapya 11 yaliyotolewa na Shirika la FZS la Ujerumani kusaidia operesheni tokomeza ujangili awamu ya pili. Ikulu leo, Kulia ni Mkurugenzi wa shirika hiyo Kanda ya Afrika, Robert Muir.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii NSSF, Dkt. Ramadhani Dau, (kushoto) akisikiliza maelezo ya ofisa wa shirika hilo
No comments:
Post a Comment