Wednesday, March 26, 2014

NBC YAKABIDHI GARI LA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 17



Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mzinga Melu (kushoto) akimkabidhi zawadi ya gari jipya aina ya Suzuki Swift. Mary Malifedha, mkazi wa Kigoma, aliyeibuka mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya 'Weka Upewe' iliyokuwa ikiendeshwa na benki hiyo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Dar es Salaam jana. Wengine kutoka (kulia) ni Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki hiyo, Mussa Jallow, Mkuu wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Mfugale. Gari hilo lina thamani ya dola za kimarekani 17


Add caption

No comments:

Post a Comment