Meneja Mauzo wa
Kampuni ya Bia (TBL) Kanda ya Kaskazini, Wilderson Kitio (kulia) akizungumza na
maofisa wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa wakati wa ziara ya
kutembelea miradi iliyofadhiliwa na TBL kupitia asasi hiyo mkoani Arusha hivi
karibuni. Na Mpigapicha Wetu
Mkuu wa Wilaya ya
Nyamagana, Baraka Konisaga akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Tawi la
Benki la NMB, mwishoni mwa wiki. (Na Mpigapicha Wetu
No comments:
Post a Comment