Tuesday, March 11, 2014

SAMSUNG TANZANIA NA NMB UWEZESHAJI NA UWEKEZAJI BODABODA


ZAWADI ZA SAMSUNG
Mwakilishi wa Kampuni ya Samsung Tanzania,

Ibrahim Kombo, akimkabidhi zawadi ya jiko

(Macrowave) Dar es Salaam jana, mmoja wa

wateja, Joseph Nswila (kushoto), baada ya

kushinda katika promosheni endelevu kwa

wateja wa kampuni hiyo. (Picha na Charles

Lucas)


UWEZESHAJI BODABODA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu

Uwekezaji na Uwezeshwaji, Dkt. Mary Nagu

(katikati) akipeana mkono na Mkuu wa Mkoa

wa Geita, Saidi Magalula, wakati wa

uzinduzi wa mpango wa uwezeshwaji kwa

madereva wa bodaboda, Jijini Mwanza jana.

Kushoto ni Mkuu wa Huduma za Kifedha wa

NMB. Filbert Mponzi.

No comments:

Post a Comment