Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe (aliyeketi) akikabidhiwa bakora na wazee wa mila wa Kata ya Kwadelo ikiwa ni hatua ya kusimikwa rasmi kuwa mzee wa eneo hilo mara baada ya kuzindua mradi wa maji wa sh. milioni 268 hivi karibuni
Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya miti ili kumuona na kumsikiliza Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe
|
Waziri wa Maji Profesa Maghembe akimsikiliza Meneja Mkuu wa Kampuni ya ESCORTS Tanzania Limited inayosambaza trekta aina ya FARM TRACTOR. Revinder Mohan, wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji Kwadelo kampuni hiyo inasambaza trekta kwa wakulima kwenye eneo hilo |
Baadhi ya wkulima wakimsikiliza Meneja Mkuu wa Kampuni ya ESCORTS Tanzania Limited
inayosambaza trekta aina ya FARM TRACTOR. Revinder Mohan, wakati wa
uzinduzi wa mradi wa maji Kwadelo kampuni hiyo inasambaza trekta kwa
wakulima kwenye eneo hilo
Diwani wa Kata ya Kwadelo wilayani Kondoa Mkoa wa Dodoma, Alhaji Omary Kariati (kushoto), akiwasikiliza wakazi wa eneo hilo wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji hivi karibuni.
HONGERA SANA MHESHIMIWA DIWANI ALHAJ OMAR YUSUF KARIATI KWA KUWAJALI WANANCHI NA KUTIMIZA AHADI ZAKO.
ReplyDelete