Friday, March 28, 2014

UJENZI MIUNDOMBINU JIJINI NA mafuriko jangwani

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakipita kando ya kituo cha mabasi ya haraka cha Mradi wa DART unaotekelezwa na Kampuni ya STRABAG
Bomba la maji la DAWASCO likiwa katika maji kutokana na mto Msimbazi kufurika eneo la Jangwani

No comments:

Post a Comment