Askari polisi wa kikosi cha doria wakiwadhibiti baadhi ya wakazi wa Mbagala Misheni waliokuwa katika harakati za kuiba mafuta ya kula baada ya gari lenye konteina kupinduka katika eneo hilo Dar es Salaam . Angalia picha zaidi ni Barabara ya Kilwa....
Mkazi wa jiji mwenye ulemavu akitafakari jambo katika eneo ambalo hulitumia kuomba misaada kwa wasamaria ni makutano ya Barabara za Bibi Titi Mohamed na Azikiwe Kisutu.
Dereva wa gari hilo akilisukuma baada ya kuzimika ghafla ili kulipeleka eneo salama kuepusha msongamano, kama alivyokutwa Barabara ya Nyerere KAMATA.
No comments:
Post a Comment