Friday, April 11, 2014

MATUKIO MBALIMBALI JIJINI

Askari polisi na mgambo wa jiji, wakipita katika doria ya kudhibiti biashara ndogondogo katikati ya jiji. Udhibiti huo umepongezwa na wakazi wa jiji.
Baadhi ya wateja wajadiliana nje ya duka la vitabu la Corod's Uhuru, lililopo Shule ya Uhuru Makutano ya Barabara za Msimbazi na Uhuru. Duka hilo linasifika kwa kuuza vitabu vya mitaala mbalimbali kwa shule na vyuo kwa jumla na rejareja vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei rahisi.

Wateja wakiangalia vitabu katika duka hilo kando ya makutano ya Barabara za Uhuru na Msimbazi Shule ya Uhuiru.

No comments:

Post a Comment